• HABARI MPYA

    HABARI MOTOMOTO

    HABARI YA KIMATAIFA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    • HABARI ZA NYUMBANI
    • SIMBA
    • YANGA
    • AZAM
    Wednesday, May 08, 2024
    Tuesday, May 07, 2024
    Monday, May 06, 2024
    COASTAL UNION YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA PRISONS MKWAKWANI

    COASTAL UNION YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA PRISONS MKWAKWANI

    WENYEJI, Coastal Unión wamelazimishwa sare ya bila mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mk...
    SIMBA SC YAICHAPA TABORA UNITED 2-0 CHAMAZI

    SIMBA SC YAICHAPA TABORA UNITED 2-0 CHAMAZI

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam C...
    SERIKALI YAMTEUA ABUBAKAR BAKHRESA KAMATI YA MAANDALIZI YA CHAN NA AFCON

    SERIKALI YAMTEUA ABUBAKAR BAKHRESA KAMATI YA MAANDALIZI YA CHAN NA AFCON

    WIZARA ya Utamaduni Sanaa na Michezo imeunda Kamati ya Maandalizi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024 na Kombe la Mataifa...
    IHEFU SC YAICHAPA NAMUNGO FC 2-0 SINGIDA MABAO YA WAKENYA

    IHEFU SC YAICHAPA NAMUNGO FC 2-0 SINGIDA MABAO YA WAKENYA

    TIMU ya Ihefu SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjin...
    Sunday, May 05, 2024
    GUEDE AWEKA BAO PEKEE YANGA YAIKANDA MASHUJAA 1-0 KIGOMA

    GUEDE AWEKA BAO PEKEE YANGA YAIKANDA MASHUJAA 1-0 KIGOMA

    MABINGWA watetezi, Young Africans wamezidi kulikaribia taji la tatu mfululizo la Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na la 30 jumla baada ya ushin...
    Saturday, May 04, 2024
    KMC YAAMBULIA SULUHU KWA KAGERA SUGAR LEOCHAMAZI

    KMC YAAMBULIA SULUHU KWA KAGERA SUGAR LEOCHAMAZI

    TIMU ya KMC imelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Cham...
    YANGA YAWASILI KIGOMA NA KUPATA MAPOKEZI MAZURI

    YANGA YAWASILI KIGOMA NA KUPATA MAPOKEZI MAZURI

    KIKOSI cha Yanga kimewasili Kigoma mchana wa leo na kupata mapokezi mazuri mamia ya mashabiki wakijitokeza Uwanja wa Ndege kuwapokea wacheza...
    KYOMBO APIGA ZOTE MBILI SINGIDA YAIKANDA DODOMA 2-0

    KYOMBO APIGA ZOTE MBILI SINGIDA YAIKANDA DODOMA 2-0

    WENYEJI, Singida Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo ...
    JKT TANZANIA YAICHAPA GEITA GOLD 2-0 MBWENI

    JKT TANZANIA YAICHAPA GEITA GOLD 2-0 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mej...
    Friday, May 03, 2024
    AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF KWA KISHINDO

    AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF KWA KISHINDO

    TIMU ya Azam FC imekamilisha idadi ya timu nne za Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayotambulishwa kama...
    SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 CHAMAZI KOUBLAN AMEWEKA

    SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 CHAMAZI KOUBLAN AMEWEKA

    WENYEJI, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam ...
    Thursday, May 02, 2024
    Wednesday, May 01, 2024
    YANGA YAIKANYAGA TABORA UNITED 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF

    YANGA YAIKANYAGA TABORA UNITED 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano ambayo sasa inajulikana...
    COASTAL UNION WATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF

    COASTAL UNION WATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF

    TIMU ya Coastal Unión imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya ushindi wa 1-0 katika mchezo wa Robó Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzan...
    IHEFU YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF YAITOA MASHUJAA KWA MATUTA

    IHEFU YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF YAITOA MASHUJAA KWA MATUTA

    TIMU ya Ihefu imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama CRDB Bank Federation Cup baada ya ...
    TABORA UNITED KAMA KAWAIDA, YAFUNGIWA KUSAJILI KWA KUTOMLIPA MCHEZAJI WAKE

    TABORA UNITED KAMA KAWAIDA, YAFUNGIWA KUSAJILI KWA KUTOMLIPA MCHEZAJI WAKE

    SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United kusajili mchezaji mpya hadi itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake, ...
    Tuesday, April 30, 2024
    SIMBA SC YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO FC 2-2 RUANGWA

    SIMBA SC YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO FC 2-2 RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliw...
    Monday, April 29, 2024
    JKT TANZANIA YAICHIMBIA KABURI MTIBWA SUGAR, YAICHAPA 2-1 MBWENI

    JKT TANZANIA YAICHIMBIA KABURI MTIBWA SUGAR, YAICHAPA 2-1 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa M...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top